Habari zenu bana.
Ameniomba pesa nimeenda kwa wakala kumtumia na nika hakikisha jina lake.
Yeye anasema mimi ni mjeuri na simpatilizi kwasababu eti hata sijampigia simu kumuuliza kama imefika!!!,.
Nimemjibu kama ifuatavyo.
Wewe, ukiomba ela nikikutumia ni jukumu lako kuangalia na kuniambia...