mahusiano mazuri na familia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nimekuwa mtu wa kuumizwa, kutopewa thamani na kusalitiwa kwa wale wote niliowaamini na kuwapenda

    Habarini ndugu zangu. Niende Moja kwa Moja kwenye mada. Maisha ya mwanadamu ni mjumuisho wa vitu vingi sana, tunapambana Kila kukicha kuhakikisha tunakuwa Bora zaidi ya tulivyokuwa Jana. Lakini kwa sasa kwangu hii imekuwa tofauti. Najua wengi tunapitia changamoto lakini tunapambana na...
  2. Naomba Ushauri: Kuna binti nimezaa naye lakini sihitaji kuishi naye kama mke. Simuoni kama mwanamke wa ndoto yangu

    πΌπ‘˜π‘œ β„Žπ‘–π‘£π‘–π‘–, πΎπ‘’π‘›π‘Ž π‘šπ‘ π‘–π‘β„Žπ‘Žπ‘›π‘Ž π‘›π‘–π‘™π‘–π‘§π‘Žπ‘Ž π‘›π‘Žπ‘’ π‘›π‘œπ‘€ π‘šπ‘‘π‘œπ‘‘π‘œ π‘Žπ‘›π‘Ž π‘šπ‘–π‘Žπ‘˜π‘Ž π‘šπ‘–π‘€π‘–π‘™π‘– π‘›π‘Ž π‘šπ‘–π‘’π‘§π‘– π‘˜π‘Žπ‘‘β„Žπ‘Žπ‘Ž, π‘π‘Žπ‘Žπ‘‘π‘Ž π‘¦π‘Ž π‘˜π‘’π‘§π‘Žπ‘Ž π‘›π‘Žπ‘’ π‘‘π‘’π‘™π‘–π‘—π‘Žπ‘Ÿπ‘–π‘π‘’ π‘˜π‘’π‘–π‘ β„Žπ‘– π‘π‘Žπ‘šπ‘œπ‘—π‘Ž 𝑖𝑙𝑒 π‘ π‘œπ‘”π‘’π‘Ž π‘‘π‘’π‘˜π‘Žπ‘’ π‘–π‘™π‘Ž π‘‘π‘’π‘˜π‘Žπ‘ β„Žπ‘–π‘›π‘‘π‘€π‘Žπ‘›π‘Ž π‘ π‘Žπ‘π‘Žπ‘π‘’ π‘˜π‘–π‘’π‘˜π‘€π‘’π‘™π‘– π‘šπ‘–π‘šπ‘– π‘ π‘–π‘›π‘Ž π‘™π‘œπ‘£π‘’ π‘›π‘Žπ‘’ π‘€π‘Žπ‘™π‘Ž π‘ π‘–π‘šπ‘’π‘œπ‘›π‘– π‘˜π‘Žπ‘šπ‘Ž π‘šπ‘€π‘Žπ‘›π‘Žπ‘šπ‘˜π‘’ π‘€π‘Ž π‘›π‘‘π‘œπ‘‘π‘œ π‘¦π‘Žπ‘›π‘”π‘’ π‘˜π‘€π‘Žπ‘›π‘§π‘Ž 𝑛𝑖 π‘šπ‘—π‘’π‘’π‘Ÿπ‘– , 𝑝𝑖𝑙𝑖 𝑛𝑖 π‘šπ‘‘π‘’ π‘€π‘Ž π‘£π‘–π‘ π‘Žπ‘ π‘– π‘β„Žπ‘œπ‘β„Žπ‘œπ‘‘π‘’...
  3. Mke Wangu katoroka na watoto wetu wa nne. Naombeni ushauri

    Nakwenda kwenye maada Siku ya ijumaa mke wangu alitoroka na kisa cha kutoroka ni wiki mbili zilizopita mama mkwe aliniomba aondoke sehemu na mke wangu na mimi kulingana na mipango ya hapa kwangu nikaona nimebanana nikamwambia mama mkwe sina nafasi kwa sasa mama akanielewa ikapita hiyo Sasa...
  4. Hii kauli inamaanisha nini wadau?

    Mwanandani wangu wa kike amekuwa na tabia kuvutia mambo kwao mathalani kuwafundisha watoto tamaduni za kwao ikiwemo lugha na kusifia mambo mengi ya kwao. (kabila lake). Sasa Jana ghafla akaanza kumuongelea baba yake mzazi kiufupi siye aliyemlea alimzaa tu wakalea wengine hata MAHARI hakupokea...
  5. Mahusiano ya familia yangu yananiharibu kisaikolojia

    Ndugu zangu, napenda kushiriki hali yangu na ninaomba ushauri wenu. Nimekuwa nikilelewa na bibi yangu tangu nikiwa na umri wa miaka 2 na sasa nina miaka 24 na wazazi wangu wote wapo hai mpaka sasa. Sijawahi kuonana na baba yangu kabisa ingawaje kwa sasa tunawasiliana katika simu, Mama yangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…