mahusiano mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Mauzauza ya online dating: Tuliowahi kudate mitandaoni tusimuliane hapa mambo yalivyokuwa kinyume na tunachodhania baada ya kukutana live

    Ilikuwa ni mwaka 2014 nipo facebook, nilipost picha yangu kwenye group la "tafuta marafiki na mchumba", kulikuwa na comment nyingi za mabinti, nikachagua mmoja ambae nimevutiwa nae kwa kuangalia profile picha. Mazungumzo yalianza rasmi kuanzisha urafiki na siku chache zijazo tukawa wachumba wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…