Wakuu kwa upande wangu naona hili suala ni changamoto kubwa mno. Inahitaji kuwa fit kisaikolojia ili kwenda sawa na mwanamke aliyekuzidi pesa na elimu. Binafsi imetokea mara kadhaa kukutana na wanawake wenye hizi sifa lakini ilikuwa ngumu kudumu kwa sababu yeye kuwa chini yako kwa 100%...
Nguvu tunazotumia kuwekeza sehemu tusipotakiwa huwa ni kubwa sana kiasi kwamba hizo nguvu zingewekezwa pengine zingeleta matokeo chanya na makubwa.
UKIONA UNATUMIA NGUVU NYINGI NI DALILI KUWA UPO UNALAZIMISHA USIPOTAKIWA.
Usilazimishe usipotakiwa na usifanye hili kosa tena kwa sababu...
'MASINGO MAZA NA MASINGO FATHER', MAYATIMA WAPYA WANAOHITAJI KITUO CHA MALEZI CHA TAIFA.
Ndugu zangu, Idadi ya MASINGO MAZA, inatishia uhai wa KIZAZI KIJACHO. Hivi sasa tunaanda KIZAZI ambacho hakitatambua nafasi ya BABA kwenye familia. Iko haja kama Taifa kwa miaka 25 ijayo, tuje na tiba ya...
Ndugu zangu, napenda kushiriki hali yangu na ninaomba ushauri wenu.
Nimekuwa nikilelewa na bibi yangu tangu nikiwa na umri wa miaka 2 na sasa nina miaka 24 na wazazi wangu wote wapo hai mpaka sasa. Sijawahi kuonana na baba yangu kabisa ingawaje kwa sasa tunawasiliana katika simu, Mama yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.