Based on my view point
UTANGULIZI
Huyu mdada niliwahi mjua before kwenye mkoa x ndani ya mwaka huu, tuliwasiliana kiasi huku nikiwa nagusa mada kwa juu juu za kuomba mahusiano. Mwaka huu bahati nzuri amekuja kupata kazi katika Wilaya ambayo nafanya kazi, hapo hapo nikampata kiurahisi kabisa ...