Wakuu,
Ukweli usemwe umalaya sio dili ndugu zangu,kufanya uzinzi na mke au mume wa mtu ni ujinga na kujitafutia kifo.
Kama una tabia hiyo acha mala moja.
Mwenzenu yamenikuta,ilitokea nikapendwa na mke wa mtu,nikaanza kutoka nae ni mwaka wa pili sasa ninachepuka nae. Jana si akaniita tena kuwa...
"Nyakati ngumu huunda wanaume wenye nguvu, wanaume wenye nguvu huunda nyakati nzuri, nyakati nzuri huunda wanaume dhaifu, na wanaume dhaifu huunda nyakati ngumu."
Kipindi unakuwa uliwahi kusikia wakubwa zako wanashare stories za kula na kutongoza wake za watu?
Mke wa mtu ni uchungu uliojificha...
Kijana ambaye amefahamika kwa jina la Faida Deus (34) mkazi wa kijiji cha Bugalama kata ya Bugalama Halmashauri ya wilaya ya Geita ameuawa kwa tuhuma za kufumaniwa na mke wa mtu.
Wakizungumza na waandishi wa habari ndugu wa marehemu wamesema tukio hilo lilitokea Oktoba 30 mwaka 2024 majira ya...
Mwaka 2015 kwenye harakati za kutafuta kazi, nikaingia ofisi moja hapa Jijini Dar es Salaam. Nilipewa connection na rafiki yangu kuwa niende kuonana na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo. Mwamba nikabeba zangu vyeti vyote mpaka wa dini, shughuli ilianza mapema sana nikaamka saa 10 usiku...
Kikao Na. 34 cha WANAUME kimeazimia kuwa kamwe mwanaume usifanye mapenzi na MKE wa mtu. Mke wa mtu hapa ni yule aliyeko ndoani ima ya kidini, kimila, kiserikali au hata waliojifungisha wenyewe (kwa binti kuchukua mkoba wake kuhamia kwa mwanaume). Maamuzi haya yamechukuliwa kwa kuzingatia hoja...
Mitaani huku tunapoishi mtakuwa mashahidi kuna pindi inatokea unaelewana na jinsia tofauti ya yako KIURAFIKI tu..
Kwa mfano kuna mmama mkubwa anauzwa grocery na wewe ni mteja ukifika mnatia stori kibao sasa ghafla anaanza kugombana na mumewe sababu anazohadithia huyu mmama wa grocery ni kwamba...
Hivi ndivyo ilivyokuwa: Nilikutana na huyu dada na nikamtongoza kwa sababu niliona anafanya kazi katika duka la mzee fulani. Hapo awali, sikujua kama mzee huyo alikuwa mume wake, nilidhani labda alikuwa baba yake. Baada ya kumtongoza, alinieleza kuwa ana mume ambaye ni huyo mzee na wana mtoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.