Kuanzia kwenye mitandao ya kijamii kama Twitter, Instagram hata hapa JF hadi mtaani nimekuja kugundua vijana wa kike wengi bongo mazungumzo yanayowashughulisha na kuwaweka busy zaidi ni mahusiano, mapenzi, ndoa na ngono.
Ni wanawake vijana au mabinti wachache sana utakuta wanaongelea siasa...
Kuna rafiki yangu kanilalamikia sana leo, anasema ana mwanamke alimtongoza na wana miezi kama saba hivi.
Kila akimpanga kuja geto anatafuta visingizio ila jamaa anajitoa sana kwa mwanamke, akiomba pesa anapewa, akiomba pesa ya kusuka anapewa, jamaa akiomba waonane wanaonana sehemu kama kwenye...
Mwenye simu kubwa ya macho matatu halafu hana kazi inayoeleweka. Acha ujinga vaa kondomu.
Mwenye kuchanganya lugha anavyoongea mara anapiga kiswahili anaingizia na kiingereza humohumo. Tumia kondomu mazee tutakupoteza.
Simu yake imejaa dating Apps. wew usijali hata kama dating App ni moja tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.