Habari
Rafiki yangu ameniomba ushauri nikaona sio vibaya kuwashirikisha Wana jamii.
Amesema "Ana wapenzi wawili wote wanamkubali, Wakwanza ni nesi japo halipwi hata mshahara mkubwa na sio bikra zodiac sign yake inaendana na jamaa, she's cool nyashi ya kueleweka anatokea Lindi
Wapili ni...