Rais wa Kenya, William Ruto, ameisifu Tanzania kwa kuwa nchi inayoongoza kwa kufanya biashara kwa ukubwa zaidi Afrika Mashariki ikiizidi Kenya ambayo zamani ilikuwa ndio nchi kinara kwa kufanya biashara Afrika Mashariki
Akizungumza mjini Arusha, Tanzania, Ijumaa, Novemba 29, 2024, wakati wa...