Kupitia akaunti yake ya Truth Social Rais wa Marekani Donald Trump siku ya leo amesema kuwa amempigia simu Rais wa Urusi Vladimir Putin.
Trump amesema kuwa simu yake na Putin imedumu zaidi ya saa 1 na nusu na kudokeza kuwa wawili hao wamekubaliana kufanya lazi pamoja.
Katika ujumbe wake pia...
Wadau hamjamboni nyote?
Serikali ya Israel yazidi kutengwa kimataifa
Serikali Nicaragua inayoongozwa na Rais mhafidhina Daniel Ortega
imetangaza kuvunja mahusiano ya kidiplomasia na Israel wakipinga uvamizi huko Gaza.
Hatua hiyo imetangazwa rasmi na Makamu wa Rais Bi Rosario Murillo ambaye...
Waziri Januari Makamba amesema hata kama hatumkubali Samia ni wetu hivyo tunatakiwa kuacha siasa hasa kuhusu ziara zake nje ya nchi kwani zimeleta manufaa makubwa kwa nchi.
Waziri Makamba ameyasema hayo leo 6.6.2024 akizungumzia ziara ya Rais Samia nchini Korea
Zaidi sikiliza hii link mpaka...
Ni dhahiri Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT, anaifungua nchi kitaifa na kimataifa.
Hivi sasa, Taifa lina pumzi freshi tena mpya ya kitofauti kabisa, fursa za kila aina zimefunguka kitaifa na kimataifa kwa mipango na mikakati ya Rais huyu kipenzi cha dunia nzima. Mazingira mazuri ya na...
TUUNGE MKONO JUHUDI ZA MHE RAIS SAMIA - BALOZI YAKUBU
Mheshimiwa Saidi Othman Yakubu, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro amekutana na Watanzania wanaoishi nchini Comoro tarehe 2 Juni, 2024 na kuwaasa wawe mstari wa mbele kuunga mkono juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan za...
Enyi walimwengu
Naomba msaada kujulishwa hayati JPM akiwa raisi alivunja mahusiano gani na nchi mbali mbali Na jumuia za kimataifa ambazo leo nasikia wengi wakitamka kuwa sasa mahusiano hayo yaliyovunjwa awali yanatejeshwa kwa kasi sana.
Angalizo
kwa waleta majibu ya maswali hapa chini ndo...
Wakati kukiwa na suala la kuanzisha uhusiano na taifa la Israel, wengi walitoa maoni kwamba msimamo wa kiitikadi wa Tanzania ni kutoshirikiana na mataifa ambayo yanakandamiza jamii fulani ya watu na kukiuka haki zao za binadamu. Na hata tulisema kiitikadi tunaunga mkono jitihada za Wapalestina...
Rais wangu na mama yangu Samia, kwanza nakupongeza sana kwa hatua uliyochukua ya kuanza kuboresha mahusiano ya kidiplomasia na Kenya kwa sababu yalianza kufa kimya kimya, yaani Tulikuwa na uhusiano wa kinafiki, ktk hili sina muda wa kulieleza kwa kina kwa sababu lipo wazi kabisa.
Rais wangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.