Umuofia kwenu ndugu zangu JF,
Mara kadha wa kadha kumekua na malalamiko kwa watu mbalimbali kuhusiana na long distance relationship, ambapo watu wengi wenye mahusiano kama haya wamekua wakilalamika, kuhangaika na hata kupoteza matumaini, na kwakweli wamekosa kuaminiana na kupelekea kulegalega...