Wakuu,
Watu wapo karibu na wazazi/mzazi wake lakini yeye ni kumtakia mabaya kila leo. Mzazi anafurahi kuona mtoto wake anaharibiwa, ukifanikiwa inakuwa kama mwiba kwake, hapakufai hapo kaa mbali.
Kuna wazazi wanawatafuta watoto wao wakiwa na matatizo tu, na mtoto akishindwa kutatua changamoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.