Maimuna Pathan, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Lindi, mapema jana Februari 27, 2025, amekabidhi kiasi cha shilingi milioni 2 kwa ajili ya Ujenzi wa Nyumba ya Mtumishi wa UWT Wilaya ya Liwale katika jitihada za kuhakikisha Watumishi wanaishi katika makazi bora.
Vilevile Mheshimiwa Pathan (Mb)...