Huyu mwamba alikuwa ni marine general,moja ya sifa zake ni kuwa mtu tafu na imara sana na kutokana na tabia zake walikuwa wanamuita shetani mzee butley
Lakini hakujali na wala hakuw na tabia ya kuwa na chuki au kuweka chuki moyoni mwake,wataalamu walimlaani,na karibia jamii nzima walimlaani...