Gwala kwa wana Jf.
Niteremke hapa kwenye ngazi taratibu na kuingia kwenye mada.
Makuzi ya miaka ya sasa imepelekea kupatikana kizazi cha hovyo kweli! Watoto kutojua wanapaswa kuongea vipi na watu mbalimbali, mfano watu wazima, waliowazidi vyeo, na mengine mengi. Yaani mtoto anaongea na mtu...
Siku hizi maisha yamekuwa kama mashindano ya marathon – unakimbia tu bila pumziko. Mara unakuta kila siku umeamka mapema, unakimbizana na muda, ukirudi nyumbani usiku umechoka, na wakati mwingine hata weekend hakuna kupumzika. Sasa hivi, ni kama vile kila mmoja wetu anataka “kufanikisha ndoto”...
Wakuu kwema, naomba nishare mapito yangu ya utafutaji maisha toka 2019 hadi 2024. Maana nashindwa kuelewa kwanini kila kitu nachokifanya hakifanikiwi.
Naamini kupitia huu uzi nitapata abc za kufanikiwa next time.
Baada tu ya kumaliza chuo niliamua nijiajiri kwenye mifugo(ufugaji wa kuku)...
Tokea nilipofikisha miaka 30 mpaka sasa mwaka wa 6 baadae, nimekuwa na hofu sana na maisha nikitazama nilipotoka na kulinganisha nilipo majibu ya ninakoenda hakuna nuru, mapambano ni mengi ila matokeo chanya ni machache sana.
Miaka kumi nyuma ilikua ni juzi tu hapo nilikua na miaka 20 na, miaka...
Kuwalaumu wengine kwa ugumu na changamoto tunazopitia katika maisha yetu mara nyingi ni njia rahisi ambayo wengi huichagua. Hata hivyo, ni muhimu kukumbuka kwamba kila mtu tunayekutana naye ktk safari yetu ya maisha ana jukumu katika kutuunda na kuchangia uzoefu wetu.
Watu wazuri katika maisha...
Kuna usemi maarufu unaosema, "watu wazuri wanamaliza mwisho," ambao mara nyingi hutumika kuelezea hali ambapo watu wenye roho nzuri, ambao ni waaminifu, wanyenyekevu, na wenye huruma, wanakosa mafanikio katika maisha. Wakati huo huo, wale ambao wanaonekana kuwa na roho mbaya, wanaoweza kuwa na...
Huu ni mtazamo wangu binafsi ambao ni based kutokana na experience nilizopitia mpaka Sasa.
Maisha yanapokuwa magumu mara nyingi fikra zinakuwa ni zilezile unatumia energy na Akili kubwa kuwaza utakula nini, utalipaje Kodi ama utavaa Nini na kwa bahati mbaya ukipata pesa kidogo unazotumia ili...
Picha ilianza na Mimi. Nilibahatika ya kufaulu na kwenda shule nzuri tu ya sekondari ambako pia nilifauli kwenda masomo ya juu. Nikiwa nimekomaa na masomo ya biashara, ndoto kuu ilikuwa kuja kuwa mfanyakazi wa taasisi flani za kifedha.
Tena huko zinakotokea. Leo hii ni mwalimu ninayefundisha...
Daah maisha yanatupitisha kwenye moments ambazo ni ngumu kusahaulika. Moja ya moment ambayo sitakuja kuisahau ni jinsi Bank ya Finca ilivotufanyia somba somba alooo.
Nakumbuka mwaka 2010 tumekaa ofisini na mama (ofisi ya kushona nguo maana wazazi wangu wote ni mafundi kushona na kipindi hicho...
Hamjambo wana JamiiForums
Wakati mwingine unaweza kuwaza sana hadi kichwa kinataka kubasti, kuna kipindi kabla sijawa mtu mzima nilikua napishana na mtu anaongea mwenyewe na kurusha mikono hewani, nilikua najiuliza sana, ila badae sana nikapata majibu.
Wadau nina nyumba mbili katika kupiga...
Yaani basi tu, nimetafuta kazi sijapata, marafiki wamenikimbia, ndugu nao wapo kimya, hata nikiomba mtaji wananikatalia.
Nahisi kuchoka, nahisi kukata tamaa. Kuna muda nikilala natamani kusipambazuke. Sina baba, sina mama sina babu sina bibi. Muda mwingine naona hata waliopumzika makaburini...
Usiombe biashara ife au kazi iote mbawa, naishi maisha ya kuungaunga mwezi wa pili sasa baada ya kibarua kuota nyasi, poleni sana kwa mliowai kuishi maisha haya, maisha ya kula mlo mmoja na kutojua kesho yako, maisha ya kula leo saa saba mchana mpaka kesho saa saba mchana, hatari ogopa.
Jamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.