maisha bila muziki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lavit

    Can you imagine a life without music?

    Mimi naona maisha yangekuwa magumu sana, hii haijalishi ni aina gani ya muziki ila kila binadamu anasikiliza muziki! Kuna muda unaweza tengwa na kila mtu ila music will be there! Bado sielewi hii nguvu na ya hii kitu inatokana na nini!
Back
Top Bottom