maisha binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    Ukimsaidia ndugu yako usitegemee kurudishiwa fadhila/asante kutoka kwake

    Baadhi ya watu wamekuwa wakiwasaidia ndugu zao kwenye maeneo mbalimbali. Wengi wanaweza kuwasomesha, kuwapa kazi, kuwatibia pindi wanaumwa n,k. Sasa baada ya kufanya hivyo wanaamini nao siku watarudishiwa fadhila au unaweza sema asante pale anapopata changamoto fulani. Sasa anapokosa msaada...
  2. B

    Kuna haja ya kuwepo kwa somo la "kujijali" self caring sababu ya "self denial" Baada ya kusalitiwa

    Ukweli mchungu ni kwamba kuna Ile hali ya nafsi "kutokuamini juu ya kitu kibaya ulichofanyiwa na mtu wako wa karibu mwishowe kuleta maumivu ndani Ya moyo hali inayopelekea kutokusahau na kubaki na kovu moyoni" 1.Neno kiasi kwenye maandiko ya vitabu vyote kiimani halikuandikwa kimakosa...
  3. TheForgotten Genious

    Hii hali inanipa upweke sana nimejitahidi kuikwepa lakini wapi

    Katika maisha yangu yote sijawahi kuwa na marafiki,na sipendi kabisa masuala ya marafiki,hata nikipata tatizo sina rafiki wa kumwambia mtu pekee ninayeweza kumwambia ni mama tu. Lakini pia si mtu mwepesi wakueleza hisia ama changamoto zangu kirahisi hata kwa mama,huwa namueleza nikiona kabisa...
  4. B

    Mtafutaji hachoki usife moyo

    Maisha ni foleni na siku zinasogea pole pole Muamini MUNGU ipo siku utafanikiwa Ata kama sio Leo "NDUGU" yangu Ila amini ipo siku utafanikiwa Mungu wetu halali wala hasinzii "anasikia maombi yetu" VUMILIA shida "Ila NB usivumilie dharau unaemmudu deal nae perpendicular" 🤣ukiendekeza unyonge...
  5. F

    This is too much now, hivi ni mapepo au ni hali ya kawaida kwenye utafutaji?

    Wakuu kwema, naomba nishare mapito yangu ya utafutaji maisha toka 2019 hadi 2024. Maana nashindwa kuelewa kwanini kila kitu nachokifanya hakifanikiwi. Naamini kupitia huu uzi nitapata abc za kufanikiwa next time. Baada tu ya kumaliza chuo niliamua nijiajiri kwenye mifugo(ufugaji wa kuku)...
  6. Bwana kaduga

    Maisha: Safari ya kujifunza, kukua na kupata maana

    "Maisha ni safari yenye vipindi tofauti, yenye furaha, huzuni, mafanikio, na changamoto. Ni safari inayotufundisha kuwa na uvumilivu na uthabiti. Kila siku tunapita katika hatua tofauti za kujifunza na kukua, tukikumbana na vipindi vya furaha vinavyotufanya tuhisi shukrani na wakati mwingine...
  7. Brigadier Isaac

    Hivi ni mimi tu au watu sasa wamebadilika

    Habari za jioni kwa member wote wa JF Hivi Sasa Kuna kitu sijaelewa mpaka Sasa Yani naona watu wamekuwa shallow Sana. Naona Sasa mtu kukutafuta ni mpaka awe na shida au matatizo la sivyo hakuna shobo hata kidogo. Kila mtu anajiona star au ana act celebrate flani yaani Kila mtu anajiona...
  8. G lizer

    Unawezaje kukuza uwezo binafsi uliopo ndani yako?

    Binadam anapo zaliwa anakua na uwezo mkubwa saana wa kuwaza mambo makubwa na ya maana saana. Ila kadri siku zinavyo songa anakua binadam huyu hupitia hali tofauti tofauti na kupelekea kupoteza uwezo mkubwa alio nao na kubaki kuishi maishq ya kawaida na kuona aliyo kua anawazaga ni kama ndoto tu...
  9. safuher

    Malengo yangu nitakayoyatimiza nikifikisha miaka 40

    Ndoa stable kabisa ambayo iliyopitia magomvi kadhaa lakini haijawahi kuwa na tishio lolote la kuachana. Watoto wa 4 huku wa kwanza wao akiwa na miaka 18,yaani wawili wa kike na wawili wa kiume. Nyumba yangu iliyozungukwa na eneo lenye ukubwa wa hekari 1 na humo ndani nitakuwa nifanya maendeleo...
  10. Etugrul Bey

    Kuwa tafu kama Genaral Smedley Butler

    Huyu mwamba alikuwa ni marine general,moja ya sifa zake ni kuwa mtu tafu na imara sana na kutokana na tabia zake walikuwa wanamuita shetani mzee butley Lakini hakujali na wala hakuw na tabia ya kuwa na chuki au kuweka chuki moyoni mwake,wataalamu walimlaani,na karibia jamii nzima walimlaani...
  11. JEJUTz

    Unaogopa jambo gani kwenye maisha lisikutokee

    Katika maisha Yako ukiachana na umauti ambao Kila nafsi itaonja., Ni jambo gani hutamani likutokee Mimi binafsi naogopa Radhi za wazazi na kupata maradhi makubwa kama AIDS na Kansa. Je wewe mwenzangu unaogopa nini lisikukute Jambo gani maisha?
  12. Gemini AI

    Tujadili Maisha: Ni kweli Watu wenye roho nzuri hawafanikiwi kimaisha wakati wenye roho mbaya wanatoboa Kirahisi?

    Kuna usemi maarufu unaosema, "watu wazuri wanamaliza mwisho," ambao mara nyingi hutumika kuelezea hali ambapo watu wenye roho nzuri, ambao ni waaminifu, wanyenyekevu, na wenye huruma, wanakosa mafanikio katika maisha. Wakati huo huo, wale ambao wanaonekana kuwa na roho mbaya, wanaoweza kuwa na...
  13. HONEST HATIBU

    Acha maisha yako binafsi yabaki kuwa binafsi

    Baki na Maisha yako Binafsi 1. Usitangaze ndoa yako yenye furaha kwenye mitandao ya kijamii 2. Usitangaze mafanikio ya watoto wako kwenye mitandao ya kijamii 3. Usitangaze ununuzi wako wa vitu vya bei ghali kwenye mitandao ya kijamii Ukweli ni kwamba: 1. Si kila mtu atafurahia mafanikio...
Back
Top Bottom