maisha chuoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GoldDhahabu

    Ukiyafahamu maisha ya wanavyuo kwenye vyuo vya Elimu ya Juu nchini, hutawalaumu wanaowabeza wasomi wa Kitanzania

    Joseph Kasheku Msukuma na Jumanne Kishimba "hawajashule" kiviile, lakini si wajinga. Ni miongoni mwa wanasiasa wanaoongoza kwa kuwabeza wasomi wa Kitanzania. Kuna baadhi ya watu wameonesha kukasirishwa na kejeli za hao wanasiasa, lakini ukifuatilia kwa makini, utabaini mengi ya madai yao yana...
  2. Cute Wife

    Mbunge Getere aomba radhi kwa kauli yake kuhusu Boom

    "Mimi nakubali nimeomba radhi inawezekana ile kauli imewaudhi wengi, lakini mimi bado ni mtetezi wao wa kwenye matumizi na kuwasaidia kusoma vizuri kwa kuhakikisha wanafunzi wote wanalipiwa ada halafu tukawalipia matumizi (Boom) kwa hizo asilimia zilizopo," - Mwita Getere, Mbunge wa Bunda...
  3. M

    Mchango wa Mbunge Getere wa "Wanachuo wasipewe boom" umemvua nguo

    Eti mbunge huyo wa Bunda vijijini Boniface Mwita Getere anasema wanachuo wasipewe boom kwani wanafunzi wanaopewa boom hawana nidhamu, niwalevi, na hawasomi. Anadai eti walipiwe karo tu kuhusu matumizi watalipiwa na wazazi wao. Sasa hajajua kama hakuna wazazi ambao hawana uhakika wa kula...
  4. ChoiceVariable

    Mbunge Getere: Boom lifutwe, wanafunzi wanatumia kulewea

    Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa. Amesema badala yake, wanavyuo walipiwe karo kwa sababu wenye uhitaji. My Take Naunga mkono hoja...
Back
Top Bottom