maisha ghali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mc Pilipili: Vijana wezangu tutafute wanawake wasio na tamaa!

    Mc na Mchungaji pilipili ameweka wazi kuwa alijichanganya na kuoa mwanamke aliyejaa tamaa ya maisha ya juu hivyo anajuta sana na kutoa ushauri kuwa vijana kuwa makini wanapochagua wanawake wa kuoa kuepuka kuoa wanawake wenye tamaa ya mali na maisha ya gharama!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…