maisha magumu mtaani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lexus SUV

    Mtaa mgumu sana aisee

    Japo leo nimegonga ghorofa ya 3 net. ila naona mtaa siusomi kabisa na ni hali halisi pesa inayopatikana ni kulisha tumbo tu. Hata investments nazo anzisha ni pesa zinahitaji ili na zenyewe zilete pesa kama return on investments (ROI) ila dah Najikaribisha mtaani kwa mara nyingine.
Back
Top Bottom