Ni kazi inayoonekana dhalili mbele ya jamii.. Lakini ni kazi inayoendesha maisha ya mhusika kwa kujitosheleza karibia kia kitu kuanzia
Mavazi, Malazi, Kusomesha, Kuhudumia wazazi na ndugu Kufungua biashara, Kujenga, Kununua vitu vya thamani, Kuhonga
Kujihudumia nknk, Wahudumu wengi wa bar...