maisha na familia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sidhani kama nitaweza kuishi na mwanamke mimi. Wengine mnawezaje?

    Asalaam, Hawa viumbe, mimi huwa siwaelewi wanataka nini hasa ili kujenga amani na furaha kwa mara nyingi maana mara zote haiwezekani. Wao ni watu wa mood swing, mimi siwezi kazana na hisia za mtu mzima wakati kala kashiba, pesa nimempa na moto nimempelekea. Mimi hata niwe na magumu kiasi gani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…