maisha na mafanikio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jaribu kujaribu! Utajishukuru mwenyewe baadaye

    Kwa nini unaogopa kujaribu? Nini shida Kijana? Jaribu kufanya Chochote kizuri kitakachokusaidia wewe. Usitegemee mtu. Maisha ya sasa hivi ni wewe mwenyewe na wala usimlaumu mtu. Kama umekosea kitu. Anza upya usiogope. Kama una kipaji cha kusuka anza kusuka. Kama una kipaji cha kuimba imba...
  2. Ukiona umefikia stage hii umekwisha

    Kuna mambo madogo madogo na yamezoeleka lakini ni ishara mbaya. Taa nyekundu imewaka mbele yako, jitafakari. Naandika haya kwa experience ya mambo niliyoyaona na kuyasikia katika jamii. Sometimes nimepata experience Mimi mwenyewe. 1. Ukijiunga kwenye kikundi cha kufa na kuzikana ili usaidiwe...
  3. Siri za Mafanikio

    1. Sehemu ya kwanza katika Siri za mafanikio ipo katika chini ya ardhi Huko Kuna madini na vitu vingi vya thamani. 2.Siri ya pili ya mafanikio meenyezimungu akiweka mbinguni. Huko mbinguni Kuna vitu vingi sana ambavyo sisi hatuvifahamu, na vina thamani kubwa kweli kweli. 3.Siri ya mafanikio ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…