Niko lonely sana, nahitaji ushauri wa jamii. Sina msaada kabisa, sina washauri hasa kisaikolojia
Kuna makosa mengi sana nimekosea yamepelekea nikose furaha ya maisha kabisa.
Ndugu zangu, napenda kushiriki hali yangu na ninaomba ushauri wenu.
Nimekuwa nikilelewa na bibi yangu tangu nikiwa na umri wa miaka 2 na sasa nina miaka 24 na wazazi wangu wote wapo hai mpaka sasa. Sijawahi kuonana na baba yangu kabisa ingawaje kwa sasa tunawasiliana katika simu, Mama yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.