Umefika hatua hata ukitaka kumsaidia mtu anakuhisi unataka kumtapeli.
Kwa madiba palinishangaza sana, watu wanaishi kwa kuliana Timing, hii inasababisha hata ukitaka kumsaidia mtu anahisi unataka kumtapeli.
Ilikuwa siku moja nipo Johannesburg katika mji wa Germiston, nikamsikia jamaa mmoja...