maisha ya chuo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ushauri weni: Mama wa mtoto hatumi pesa ya matumizi nichukue hatua gani?

    Nikiwa chuo niliishi kinyumba na dada mmoja tukabahatika kupata binti mrembo Ila chuo kilipoisha ni km penzi lilikuwa linaelekea kufa bahati mbaya akapata ajira mkoani Kwa kuwa mtoto alifkisha miaka mitano tukakubaliana abaki kwetu aishi na bibi ake (mzazi wangu) Ili apate utulivu kwan hata...
  2. Maisha ya chuo

    Wana Jf Nilijiunga chuo kikuu cha serikali nikitokea kazini. Hii inamaanisha nilikwenda nikiwa mtu mzima umri wa miaka 35. Kwa kuwa nilikuwa mtu mzima nilikutana na watoto wadogo sana na wengine nilifamiana nao. Sikuwa mtu wa kampani. Nilipendelea kukaa peke angu. Wakati wote nimekuwa...
  3. Uliwezaje kuishi na wababa au wamama waliotokea kazini kuja kujiendeleza kimasomo chuo?

    (1) Kuna rafiki yangu yeye aliambukizwa "ngoma" na mmama (cashier wa bank fulani) aliyekuja kujiendeleza. Jamaa sasa hivi ni mwendi wa ARVs. Sad indeed. (2) Kuna sister mmoja agemate yeye alisaidiwa connection mwaka 2012 akaingia Polisi. (3) Kuna braza mmoja alitokea NMB yeye alikuja...
  4. Mbivu na Mbichi za kuzalishwa ukiwa bado ni Mwanafunzi wa Chuo

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida wanafunzi wengi kuanzia kidato cha tano na Sita wanadhani Maisha ya Chuo ni ya Starehe sana bila kujua undani wake. Baadhi ya wanafunzi huenda Chuo wakiwa na matumaini makubwa sana ya kutimiza ndoto zao. Lakini Ndoto hizo hukwamishwa na vitu vingi hasa kwa wale...
  5. M

    Tukutane tuliosoma Vyuo vya Mjini na kero zake

    Tuliosoma vyuo vikuu vya mijini tukutane hapa. Wahenga wanasema ukizaliwa mjini tu basi wewe Form 6. Ukikulia mjini basi tayari upo University. Tuliosoma Vyuo Vikuu vya mjini kuna raha yake ambavyo waliosoma vyuo vya nje ya mji hawapati. Kero nilioyokutana nayo mimi vyooni, licha ya vyuo...
  6. Maisha ya Chuo na Kujitolea

    Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam ni Moja kati ya Vyuo nchini Tanzania ambacho unaweza kusoma na kujitolea kufanya kazi pia. Kwa wale waliosoma UDSM-SJMC watakuwa wananielewa kuwa kutokana na ile Televisheni,Radio na Gazeti wanafunzi wanaojitolea kufanya kazi hapo huwa wanapata kipato...
  7. G

    Mdogo wangu wa kike ndiyo kamaliza Form 6, safari ya chuo imekaribia. Nawaza ataukwepa vipi "Ukware" wa vyuoni?

    Maisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo" na vijana 4 kwa siku. Sasa itakuwaje kwa mdogo wangu huyu asiyejua chochote ktk umri wake huu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…