Zamani nilivyokua naishi msela nilikua naona jambo la kawaida tu ila baada ya kuoa naona tabu sana kulala mwenyewe , yaani wife akisafiri siku tatu au wiki naona kama mwaka.
Nishazoea kushtua na wife kabla sijalala sasa nikiwa mwenyewe napata tabu sana ingawa kuna siku nyingine sijiskii hamu ya...