maisha ya furaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kama kijana una kipi cha kujivunia kutoka kwa wazazi wako?

    Kadri ninavyoendelea kukua ndiyo naelewa kwanini watu wanaogopa kutaja umri wao halisi. Muda ni kitu cha thamani sana na pia kama kijana ukishajua unachokitaka hapa dunia kujishusha ni mbinu wala sio ujinga Kwenye mada kama kijana una kipi cha kujivunia kutoka kwa wazazi wako Nawatoa nyongo...
  2. Kanuni za kuishi maisha ya furaha

    1. Ongea kidogo na usikilize zaidi. Na unapokuwa na jambo la kusema, limaanisha na watu watakuwa na shauku ya kukusikia ukizungumza. 2. Usibishane kamwe na watu kwenye masuala kama vile dini, siasa na mabishano. Unaweza tu kukubaliana nao au kuwapuuza na kuondoka. Ukitaka kubishana nao juu...
  3. Watu watatu unaotakiwa úwafurahishe ili nawe uishi maisha ya Furaha

    WATU WATATU UNAOTAKIWA UWAFURAHISHE ILI NAWE UISHI MAISHA YA FURAHA Anaandika, Robért Heriel Mtibeli Umeshakuwa mkubwa sasa. Hakuna kitu unachohangaikia kila siku kwenye maisha kama kuwa na Furaha. Tafsiri ya furaha kwa sisi Watibeli ni kutokuhisi Upweke. Kutokuhisi Upweke ni kuhisi...
  4. Kanuni za maisha ya furaha

    1. Ongea kidogo na usikilize zaidi. Na unapokuwa na jambo la kusema, limaanisha na watu watakuwa na shauku ya kukusikia ukizungumza. 2. Usibishane kamwe na watu kwenye masuala kama vile dini, siasa na mabishano. Unaweza tu kukubaliana nao au kuwapuuza na kuondoka. Ukitaka kubishana nao juu ya...
  5. Jinsi ya kutokuwa Mtumwa wa Mitandao ya Kijamii na Uishi Maisha ya Furaha

    Upweke ni tatizo kubwa hususani vijana, unashangaa upo online masaa 24 kwenye mitandao ya kijamii. Lakini... Huna muda wala ukaribu na mtu wa karibu yako pengine majirani zako, kwa kisingizio unaishi maisha yako hivyo wasikufate fuate, Kumbuka maisha bila watu hayana ladha. Mitandao ya...
  6. Jinsi ya kujenga leo na kesho yako

    Kama kijana kuna wakati unapaswa kuutumia vizuri maana muda haumsubiri mtu, na muda ni rasilimali tosha. Niende kwenye hoja saidizi. 1- Jitahidi kuwa Mchaguzi (selective) Uchaguzi wa Vyakula + Vinywaji Uchaguzi wa Mavazi Uchaguzi wa Marafiki Uchaguzi wa Mtu utakayekuwa nae ktk Mahusiano...
  7. Ni Jukumu Letu Sote Kuhakikisha Wazee Wetu Wanaishi Maisha ya Furaha

    Kuzaliwa, utoto, ujana, utu uzima na uzee ni hatua za kawaida katika maisha ya mwanadamu. Hatua hizi zote zina raha na shida zake. Kila hatua fulani inapopita nguvu za kimwili hupungua na vilevile utulivu wa akili huzorota. Kwa kuwa umri unasonga, masuala mbalimbali ya kiafya hutokea. Baadhi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…