Wakuu,
Juzi umeme ulikuwa umekatika kwangu, ikabidi niende kwa jirani yangu kupoteza muda kidogo nikisubiri umeme urudi.
Jirani yangu (anaelekea utu uzima) ana watoto 3. Mmoja yuko nursery na hao wengine wawili wapo shule ya msingi.
Wakati nimekaa pale nikawa napiga story mbili tatu na wale...