maisha ya kizungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. cold water

    Nataka kuishi maisha ya kizungu

    Jamani nataka kuyaweka maisha yangu kizungu hasa kwenye upande wa chakula aya naombeni menu ya siku nzima. Menu ya kizungu.mfano chips,mayai pembeni na waini ,aya menu nyingine ya kizungu jamani hapa kwangu sitaki kula kula ugali.
Back
Top Bottom