Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza. Kwa waliopo marekani mkuje mtujuze haya.
1. Matumizi ya Silaha huko majuu yakoje kwasababu tunasikia Sana watu wanagongana Sana risasi Hadi sio poa yaani.
2. Je, ni halali kabisa kumiliki Silaha uko YUES
3.Tupeni majimbo ambayo wadau wanagongana...