maisha ya mjini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Umerudi kijijini umemkuta yule dogo uliemuacha sekondari 2017 kakuzidi, Tafadhali baki kijijini omba Ramani, Mjini waweza kuzeekea kwenye ghetto

    Wacha nikwambie ukweli na ninakuomba usome even if it pains Imagine upo kwenye jiji kwa miaka 7 bila kwenda kijijini kwenu unachomiliki ni simu refurbished imejaa memes za Kasongo Sehemu unayoishi umepanga hujaoa - umekuwa play boy sugu Huna mtoto na kama yupo hajulikani kwenu Huna Nyumba wala...
  2. S

    Kwa maisha ya mjini ukizembea malezi unakuja kuwa na hasara ya watoto mbeleni hasa watoto wa kike

    watoto wa mjini wanahitaji malezi serious sana vinginevyo ni hasara tupu mbeleni nakua disappointed sana kuona blunders za uswahililini hasa kwa dar kwa hawa watoto wakike ni ama wasome waje kua na kazi za maana au waolewe na wanaume wanajielewe vinginevyo wapo kwenye risk ya kua hasara ...
  3. amshapopo

    Hivi mjini matajiri wanaishije? Kiukweli kila nikiwatazama kulinganisha na hali yangu, naishia kusema maisha ni fumbo!

    Kama wewe ni mwenzangu na Mimi tunaopambana anagalao tufike sehemu nzuri, kuna ile unawatazama waliofanikiwa na mbilinge zao za maisha unaishia kusema hakika utajiri ni Ngumu. Just see few Case studies - Mtu ana mabasi 7 isitoshe amechukua mkopo mrefu benki, marejesho kila mwezi bahati mbaya...
  4. Equation x

    Narudi zangu kijijini, maisha ya mjini siyataki tena

    Nimeamua nikazeekee kijijini kwa sababu zifuatazo:- Kule kijijini nitapata hewa safi isiyokuwa na mchafuko Kule kijijini nitapata majirani wema wasiokuwa na choyo Kule kijijini tutakuwa tunatembeleana bila chuki Kule kijijini tutakuwa tunakunywa togwa pamoja Kule kijijini tutapunguza msongo wa...
  5. nipo online

    Katika utafutaji wa maisha ni mjini wa kijijini wapi rahisi kufanikiwa?

    Miaka mitatu ilopita nilikua vijijini nilishangaa kuona watu wamewekeza sana mjini wengine wana nyumba huku mjini halaf kule kijijini pesa wanaingiza kutoka mashambani yani mazao. Kabla sijaanza harakati zangu namimi nikahamia mjini gafla, Leo nimewaza kua sijui nirudie tena japo hata kwa...
  6. Dali Mpofu

    Yaliyonishangaza mjini

    Asilimia kubwa nimekulia kijijini, elimu yangu primary, Olevel, A.level zote nimesoma vijijini. Kidogo chuo nikabadili mazingira ya mjini lakini napo ilikuwa nje ya mji. Kwahiyo mambo mengi ya kimjinimjini sijawai kuyajua kwakifupi mambo ya mjini mi mshamba. Kuna issue moja imenishangaza/...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    Kujiita wa mjini halafu huna vitu hivi au moja ya hivi vitu ni dalili ya ubwege

    Anaandika, Robért Heriel Mtibeli Ni fahari kuzaliwa mjini na kuwa mtu wa mjini kama una yale yanayopatikana mjini. Mfano, mjini kuna karibu huduma zote za kijamii mathalani shule, vyuo, na miundombinu yote muhimu ya wewe kuipata elimu. Sasa itashangaza umezaliwa mjini, umekulia mjini, halafu...
Back
Top Bottom