Nimefukuzwa kazi usiku nikiwa ukumbIni na konyagi yangu alafu gari la ofisi wamelichukua bila kuambiwa hata kunibeep ila sikuwa na bando sababu mimi ndio mpandishaji wa vifurushi.
Kilichoniuma watu waliposikia nimeondolewa hata lift hawajanipa imeishia kupanda boda paka nyumbani ndio maana leo...