NI ukweli husiopingika kwamba kila mtu anatamani maendeleo na ukweli huo hauwezi kubadilika.
Shida inayoniumiza kichwa changu Kwa sasa NI Kwa nini waafrika tunapenda short cut, hatupendi kuanzia chini au kutumia NJIA sahihi kupata mafanikio endelevu.
Nafahamu kwamba afrika tunategemea Sana...