Kwamba unaweza kumwambia mtu kuwa unampenda bila kuhofia kuwa utakataliwa, yaani hauwazi kabisa cha muhimu kwako unampenda mtu huyo,yaan haijalishi kama yeye atakupenda bali cha msingi ni wewe kumpenda yeye.
Kitu kingine unawakubali watu jinsi walivyo, haijalishi wana mapungufu gani, haijalishi...
Ukitazama wavuta bangi wanavyopendana Ndo binadamu wote wangeishi hivyo.
NB: Mimi sisapoti bangi Ila nimetoa experience yangu kuhusu wavuta bangi kuwa na upendo Asilia.
Ni wavuta bangi wachache kuwakuta wapo na negativity
I guess Weed ni therapy
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.