Mzuka wana JF
Kuna wadau humu wanapenda kuiponda sana marekani totaly (sio kwamba nasema marekani haina maovu )
wanasema russia ndo kila kitu na wengine wanafika hatua ya kuita Russia ni taifa teule. Lakini kila siku wanalilia visa za kwenda Marekani.
Guys twende mbele turudi pembeni, wana...