HIZI HAPA HATUA TANO ANAZOPITIA GRADUATE WA KITANZANIA ANAPOMALIZA CHUO.
1. Mwaka wa kwanza baada ya kugraduate.Hapa bado kitaa hakijachanganya, anakua na hope kwamba atapata kazi muda wowote. Anatuma maombi sehemu mbali mbali, bado nguo za chuo na suti mbali mbali anazo, bado anang'aa, pengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.