Kwema wakuu. Kama mada inavojieleza hapo juu, kuna kijana mmoja ambae ni graduate wa chuo x hapa bongo wa mwaka 2022, mwezi wa saba alifika kwa dada ake akitokea kijiji x (sio dada wa damu yan wa kushare tumbo au baba hapana, ni ile undugu wa kuunga unga) jamaa alidai amepitia kumsalimia dada...
Huo ndio ukweli I can't become a bodaboda rider
Hizi ndo sababu zangu
- Hii kazi Ina risk Sana
haina kiinua mgongo chochote
ni Kazi inayopigiwa chapuo na
wanasia Ila watoto wao
hawawezi kuifanya
Mimi ntaendelea kuwa mtazamaji wa mambo Ila I can't go broke I'm hustler and smart ...
Nimeona hii interview ya huyu muhitimu inatrend mitandaoni imeniumiza sana kwa kweli
Hujafa hujaumbika! Kijana Noel Swai, mkazi wa Bunju A jijini Dar es Salaam amekuwa mtu wa kutoa machozi kila siku kutokana na maisha magumu anayoyapitia baada ya kupata ajali mbaya ya bodaboda, miaka sita...