maisha ya wavuta bangi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Ni kweli kuwa Polisi hamvitambui vijiwe vya wavuta bangi mitaani au makusudi?

    Kuna mambo mengine yanachekesha sana na kutafakarisha sana imagine mjini kuna vijwe vya wavuta bangi lukuki tena karibia kila mtaa na vina fahamika. Ajabu ni kwamba kuna baadhi ya police wanaishi maeneo hayohayo wanapita wanaona na hawajari. Kuna mahali tulipita na jamaa tukakuta shina la bangi...
  2. DR HAYA LAND

    Kwa jinsi Wanaovuta bangi wanapendana, binadamu wote tulipaswa kuishi hivyo

    Ukitazama wavuta bangi wanavyopendana Ndo binadamu wote wangeishi hivyo. NB: Mimi sisapoti bangi Ila nimetoa experience yangu kuhusu wavuta bangi kuwa na upendo Asilia. Ni wavuta bangi wachache kuwakuta wapo na negativity I guess Weed ni therapy
Back
Top Bottom