maiti

Maiti is an Indian surname that may refer to

Abha Maiti (born 1925), Indian politician
Ajit Kumar Maiti (born 1928), Indian neurophysiologist
Kalobaran Maiti (born 1967), Indian physicist
Mrigendra Nath Maiti, Indian politician
Samarpan Maiti (born 1988), Indian scientist, human rights activist and model
Souvik Maiti (born 1971), Indian chemist

View More On Wikipedia.org
  1. Mbunge wa Arusha, Mjini Mrisho Gambo atoa gari la kusafirishia maiti Jimboni kwake

    Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo ametoa msaada wa gari la kusafirisha mwili wa marehemu kwa wanajimbo wake. Hata hivyo, wana Arusha wameuponda msaada huo huku wakihoji kwa nini asipeleke madawa au magari ya Ambulance, na baadhi wametafsiri kwamba huo ni uchuro. Mmoja ya wachangiaji katika...
  2. Chalinze: Ndugu wazika maiti isiyo yao, ilisafirishwa kutoka Kilimanjaro na kuzikwa Kiislamu wakati ni ya Mkristo

    Ilikuwa mshtuko baada ya ndugu wa marehemu Steven Hamis Massawe (60) kufika chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro Mawenzi na kuukosa mwili wa ndugu yao. Tukio hilo lilitokea juzi, baada ya ndugu hao kufika hospitalini hapo kwa ajili ya kuuandaa mwili kwa...
  3. Kwanini watu hugombania kuzika maiti?

    Habari za mchana wanajamii forums.? Nisiwapotezee muda, niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna swali huwa ninajiuliza sana lakini bado sijawahi kupata jibu halisi, ninaomba mwenye uelewa wa hili swali anipe majibu. Ni mara nyingi huwa tunaona ama kusikia matukio ya aina hii, watu kugombea...
  4. Gerson Msigwa Siku nyingine Rais akikupa Pesa za Kuwapa Yanga SC mwambie asaidie pia na Maiti zilizozuiliwa Mochwari Mahospitalini

    Gharama ya Tsh Milioni 20 kwa kila Goli na kutoa Ndege ya bure kwa Yanga SC iliyookoa Tsh Milioni 200 nina uhakika zingepelekwa pia Kulipia Maiti nyingi zilizozuiliwa Kutolewa katika Mochwari za Hospital Kubwa mbalimbali nchini Tanzania zingetosha na angepata Sifa zaidi kuliko anakozipeleka sasa.
  5. Maiti yazua taharuki Hospitali, mwili wazikwa mara mbili

    Ilikuwa Mei 18 mwaka huu siku ambayo ilizuka taharuki na sintofahamu katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Morogoro baada ya mwili wa mzee Melkiori Ndambale (85) uliokuwa umehifadhiwa katika hospitali hiyo kutoonekana kwenye chumba cha kuhifadhia maiti. Siku hiyo ndugu wa marehemu huyo mzee...
  6. Kwanini maiti hazitolewi kwenye vyumba vya kuhifadhia maiti baada ya saa 12 jioni?

    Habari kwenu wanabodi, naleta swali hili kwenu, Je, ni kifungu gani cha sheria kinacho regulate utoaji wa maiti kutoka vyumba vya kuhifadhia maiti maarufu kama mochwari (mortuary)? Maana katika nchi yetu hairuhusiwi kutoa maiti baada ya saa 12 jioni. Sasa nikaona nililete swali hili huku kwa...
  7. Polisi wabaini maiti nyingine 29 kwenye Makaburi ya Shakahola, miili yafikia 179

    Polisi nchini Kenya Ijumaa wamepata miili 29 zaidi katika Msitu wa Shakahola, idadi kubwa zaidi ya kila siku tangu uchimbaji wa kaburi uanze mwezi uliopita, ikiwa ni uchunguzi dhidi ya sakata la Mchungaji Paul Mackenzie. Awamu ya pili ya uchimbaji wa miili ilianza wiki hii, baada ya timu...
  8. Chawa hakai kwa maiti, binadamu akifa chawa huamia kwa mwingine

    Watawala hawajui hiki kitu. Wanawakumbatia sana Chawa pasipo kugundua siku wakifa wale Chawa huangalia binadamu mwingine mwenye hali ya kuwakaribisha anahamia huko. Kama huamini Rais wa sasa ajidai amekufa kwa mwezi mmoja tu aone hawa alio nao sasa watasemaje akiwa amekufa. Wasiwasi wangu ni...
  9. Update: Miili iliyofukuliwa ya Waumini waliofunga hadi kufa yafikia 83

    UPDATE: Miili zaidi imefukuliwa katika Makaburi yanayohusishwa na 'ibada ya njaa', na kufanya jumla ya vifo kufikia 83, huku idadi hiyo ikitarajiwa kuongezeka - Polisi wamekuwa wakizunguka msitu wa #Shakahola kwa takriban Siku 4 baada ya kupokea taarifa kuhusu dhehebu linaloongozwa na...
  10. Nina miaka 26 sijawahi kuona maiti live uso kwa uso

    Yaani mimi huwa natazama tu kwambali sio kwamba ni uoga, hapana, yaani hata ikitokea msiba watu aanaaga mimi huwa sishiriki kabisa kuaga nakaa zangu kando. Sasa sijajua siku itakapo nitokea hali ya kuona maiti usoni kitanipata nini, sijawahi, sijawahi.
  11. Wakristo, Hivi andiko gani limesema maiti azikwe akiwa kwenye Jeneza?

    Naomba muongozo.... kwanini maiti mnawaweka kwenye Jeneza ... ?
  12. Mnaomshambulia Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally kwa Kauli yake ya Kukafini Maiti Yanga SC kapimweni Akili

    Ally Kamwe ( Msemaji wa Yanga SC ) Siku ambapo Simba SC ilifungwa na Raja Casablanca FC Goli 3 kwa 0 ( tena akiwa Clouds FM Kipindi cha Sports Extra ) Studioni akiwepo Mtangazaji mwana Yanga SC Prisca Kishamba na Mchambuzi mwana Simba SC Master Tindwa alitudhihaki wana Simba SC kuwa Tumebikiriwa...
  13. Majengo Mapya ya mahakama ni sawa na jeneza lenye maiti ndani, masheikh wamekaa miaka karibu kumi bila kesi zao kuisha

    Jeneza nje hurembwa kwelikweli kwa nakshi na maua, ndivyo yalivyo majengo ya mahakama. Katikati ya majengo hayo mazuri, Kuna watu wamekaa rumande miaka karibu kumi, kesi zao haziishi, na mahakama ipo. Naifananisha na jeneza kwa sababu ukilifungua lazima ukutane na harufu, maiti. Kwa mahakama...
  14. Kifo na kuokotwa kwa maiti ya mwalimu huyu kunaleta mwanga kwa matukio mengine kama haya

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/mganga-wa-kienyeji-wenzake-wanne-wakamatwa-madai-mauaji-wa-mwalimu-musoma-4133972
  15. Nilivyopambana maiti ya tajiri isizikwe kwenye kaburi langu

    Kule New York kuna makaburi fulani yanaitwa Green Wood Cemeteries, pale hazikwi mtu yoyote, ni mastaa na matajiri, unalipia hela nyingi.nilikuwa naona kama uchuro fulani kununua sehemu utakayozikwa ila baadae nilijua umuhimu wake. Hata hapa nchini utaratibu huo upo wa kununua plot mapema ya...
  16. Maji ya maiti, kiungo muhimu katika kutengeneza limbwata

    Duniani kuna mambo mengi ya ajabu! • Unatambua kuwa maji ya maiti ndo uwaga kunatoka dawa inayoitwa mnyonshe(au shuntama) daa ni huzuni ili jambo sio pouwa maji ya maiti (ndo maji pekee wanayotumia waganga wa kienyeji kutengeneza dawa ya kuwatuliza wanaume ili wasiwe na neno ndani ya nyumba...
  17. M

    Elimu ya Bure kwa Wasafirisha Maiti zinazogoma kwenda Kuzikwa Kwao ili zisikudhuru kwa Ajali mbaya barabarani

    1. Chukua Jiwe Dogo rusha upande wa mbele lilipo Jeneza Marehemu wako hata kama hakutaka Kusafirishwa Kwao atafika tu na wala hamtadhurika njiani na Gari yenu haitopata Ajali. 2. Chukua Jiwe Kubwa liweke Juu ya Jeneza hapo mnafika nae Kijijini Kwao Salama na wala hamtopata Jambo lolote baya...
  18. R

    Baba atupa maiti ya kichanga jalalani

    Baba mmoja asiyefahamika ameripotiwa kutupa mwili wa mtoto mchanga jalalani kando ya Uwanja wa CCM kalangalala mjini Geita, muda mfupi baada ya kukabidhiwa kwa ajili ya mazishi. Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Geita, Inspekta Edward Lukuba amethibitisha kupokea taarifa...
  19. Maiti 69 zazikwa na Jiji la Dodoma baada ya kukosa ndugu

    Kutokana na maiti kukosa ndugu wa kuzipa heshima ya mwisho, Halmashauri ya Jiji la Dodoma imezika jumla ya maiti 59 zilizopokelewa katika kipindi cha Januari hadi Desemba 19. Mapema mwezi huu, gazeti hili liliibua sintofahamu ya miili 19 iliyokuwa imekosa ndugu hivyo kutakiwa kuzikwa kwa mujibu...
  20. Mahakama yaamuru mwili wa aliyefia Polisi ufukuliwe, uchunguzwe

    Uamuzi umetolewa na Hakimu Mkazi Mkuu, Franco Kiswaga, baada ya kukubaliana na maombi ya familia ya Marehemu Stella Moses aliyefia katika kituo Cha Polisi Mburahati Desemba 20, 2020. Hakimu Kiswaga ametoa Amri hiyo kwa maelezo kuwa Polisi hawakutekeleza Wajibu wao Kisheria ikiwemo kuweka wazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…