Mimi siwatishi Wala nini, Vyombo vya habari vitawadanganya kua Ni Mabadiliko ya Hali ya hewa, Mara Moto usiojulikana chanzo ,mara vile !!.
Usiombe Mungu akasirike alafu akuonyeshe waziwazi kua amekasirika na aamue kukutumia wewe kama mfano.
Los Angeles, Jiji maarufu ambalo Mashoga na wooote wa...
Majanga ya asili ni Jambo la kawaida katika ulimwengu wetu,sisi kama binadamu tunapaswa kukubaliana na matokeo pale inapo bidi,huyu ni mama shupavu ambaye amebaki na moyo mkuu licha ya Masahibu yaliyomkuta
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.