Sijui ni bahati mbaya au nzuri ni kuwa kuna habari nyingi za kutisha sana zinatokea huko kwenye hifadhi za taifa kati ya wananchi na askari ila hazifiki kwenye vyombo vya habari. Tukiachilia mbali mauaji pia wanaokamatwa hifadhini hupewa kipigo kitakatifu kabla ya kufikishwa mahakamani. Yaani...
Jeshi la Uhifadhi -TANAPA wakitekeleza majukumu yao ya Ulinzi wa Rasilimali za Taifa katika Hifadhi ya Taifa Burigi-Chato walibaini ujangili wa nyama na kufanikiwa kukamata majangili wawili kati ya watatu waliokuwa wakiwinda hifadhini.
Aidha, katika jitihada za kuwakamata majangili hao askari...
Inasikitisha kuona nyara za serilkali zinakamatwa ikiwa tayari zimevunwa, iki maanisha wanyama wameshauwawa nyama, ngozi na pembe zao kunyofolewa.
Najiuliza, ng'ombe wa wafugaji wanaingia porini kimyakimya lakini wanawasikia na kukamata, majangili wanaingia kwa magari yenye mingurumo na kuuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.