Hii ni rekodi ya pekee kwa Marekani na ninafikiri wale wanaojihusisha na majaribio ya kutaka kuwaua marais wa Marekani wanaweza kujifunza kitu. Kwamba uwezekano wa kukamatwa au kuuwawa hapo hapo mpaka sasa ni 11/11 au 100%: Manake kwa takwimu hizi, ukitaka kumuua rais wa Marekani una uhakika wa...