majay

  1. Arnold Kalikawe

    Majizo alikuwa fundi cherehani wa nguo za wagosi wa kaya

    DJ Majay a.k.a Majizo siku hizi ni baron wa tasnia. Utambulisho wake haukomei tena Kwa Fujo DJs Member, E-Masterz CEO, Maisha Club Operator, Media Leader, bali sasa ni Media Magnate. Majay ndiye owner wa EFM Radio na ETV. He’s mogul nowadays, au sio? Basi, hiyo ndio tafsiri ya “the hustle is...
  2. Mhaya

    Msanii Ruby amlipua Majizzo: Rushwa ya Ngono na mambo faragha

    Msanii Ruby ambae siku ya Leo ameenda live Instagram ameonesha kuchukizwa na kutoa ya moyoni dhidi ya Boss wa EFM na ETV anayefahamika kama Fransic Siza a.k.a Majizzo au Majay. Msanii huyo wa kizazi kipya ametoa kauli ya kutakwa kimapenzi na Boss huyo ambae kwa sasa ameoa mke "Elizabeth...
Back
Top Bottom