majeneza ya mbao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwanini jeneza lazima litengenezwe kwa material ya mbao?

    Nini kipo behind mbao maana hata Yesu stori yake ya kufa ilibidi msalaba uwe ni wa mbao hata baba yake wa kufikia alikuwa seremala fani ya kuchonga miti. Hata Yuda na ye alijinyonga mtini. Hata Abeli alibarikiwa alikuwa mkulima ana deal na miti mazao ama vegetables. Jeneza lazima tu liwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…