majeneza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tabora: Marufuku kuuza majeneza hadharani

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora ametoa miezi mitatu kwa halmashauri zote mkoani hapo, kutenga maeneo yatakayokuwa na miundombinu ya kujificha ya kutengeneza na kuuzia masanduku ya kuzikia maiti (majeneza) kwani kwa sasa wauzaji wa masanduku hayo wanayauzia hadharani kando na hospitali hali inayoongeza...
  2. T

    Majeneza ya kisiasa yasiyo na watu na hatma ya Taifa

    Mwenyezi Mungu ametupa macho na ufahamu ili tusifanye makosa hayo tena. History inatuambia hakuna mahali popote mauwaji ya kisiasa yalileta amani au mataifa hayo kuwa nabutulivu. Mauaji yakisiasa ni sawa na time boom 💥 ndio maana ma diktator wengi walikufa vifo vibaya au mataifa mengi...
  3. Majeneza getini mwa Hospitali ya Amana hayaleti taswira nzuri kwa Wagonjwa.

    Habari wanaJamiiForums. Kwanza nimshukuru Mungu kwa uzima tulionao. Pili nishukuru kwa jukwaa hili ambalo linatupa fursa ya kutema nyongo zetu kwa usalama. Kwa yeyote kati yetu ambaye ameshawahi kufika hospitali ya Mkoa wa Dar es Salaam (Hospitali ya Rufaa) atakubaliana na mimi kwamba kuna...
  4. Aibu: Hadi majeneza tunaagiza kutoka nje!

    Inasikitisha miaka zaidi ya 60 ya Uhuru wa Tanganyika eti tunaagiza MAJENEZA China na Afrika Kusini?
  5. Tunauza majeneza na sanda za kisasa... Karibuni sana wateja

    Kufa kufaana... Karibu dukani kwetu mtaa wa Kalenga karibu na hospitali ya Taifa ya Muhimbili, njoo tukuuzie masanduku ya kisasa yakawaida na yakidijitali kwa gharama nafuu sana. Sema biashara sahivi haijachanganya sana, mje mniunge mkono nisije nikafa njaa mkakosa majeneza yakisasa.
  6. Exclusive-Militia wa Iraq waonya wanajeshi wa Marekani wataondoka 'katika majeneza' ikiwa Biden hatajiondoa

    Kiongozi wa wanamgambo wa Iraq wanaoshiriki katika muungano wa makundi ambayo yamefanya mashambulizi dhidi ya wanajeshi wa Marekani na Israel ameiambia Newsweek kuwa vikosi vyake viko tayari kuongeza kampeni zao kwa kiasi kikubwa ikiwa Rais Joe Biden hatatimiza matakwa yao. Kwa mujibu wa Sheikh...
  7. Biashara ya Majeneza na kutosha maiti

    Ndugu wateja tumefungua BRIGHT CANDLES FUNERAL SERVICES Sinza karibu na Kitambaa cheupe bar. Gari kali Mercedes Benz c200, 220, Jeep Grand Cherokee, Land rover Discovery 4, Alphard, Noah na Coaster full AC kwa ajili ya waombolezaji (Kwa idadi yao). 1. Jeneza la kisasa (pamoja na suti ya...
  8. Kwanini Wauza Majeneza na Dawa Pharmacies wakituambia Karibu tena tunachukia na kuwaelewa vibaya?

    Na kwa mfano kama ukija Kwangu GENTAMYCINE Muuza Majeneza na nikakuuzia unataka nikuambie neno gani zaidi ya Karibu tena? Mnajua kabisa Mimi nafanya Biashara na moja ya Kanuni Kuu yoyote ya Mfanyabiashara ni kuwa na Customer Care hivyo nijuavyo hata ukija Kununua hilo Jeneza Kwangu ni lazima tu...
  9. Tulia Ackson alipokuwa anazunguka na majeneza ili kuizika CHADEMA Mbeya, hawa viongozi wa dini ya Kikristo walikuwa wapi?

    Tukio la mashabiki wa Simba la kuingia na jeneza uwanjani limewakera wanaoitwa Maaskofu na viongozi wa dini na tumeshuhudia matamko kadhaa kutoka kwa Askofu wa Kikatoliki Kilaini na mzee wa mkono wa baunsa Gwajima. Sijaelewa kilichowatoa mafichoni, kama ni ushabiki wao kwa Yanga au ni kwa sababu...
  10. Namna nilivyotajirika kwa kuiba majeneza makaburini!

    Mimi naitwa Telo nilizaliwa huko Kigoma, Kasulu maeneo ya kumsenga miaka 60 iliopita. Elimu yangu ni ya darasa la nne, ijapokuwa kiuhalisia elimu ilinipiga sandakalawe. Maisha huko Kasulu yalikuwa magumu mno yaani mnoo! Mlo ulikuwa wa shida, nyumbani tupo nyomi yakutosha na magonjwa yakawa...
  11. TAFAKARI: Maduka ya dawa marufuku kuwa karibu na hospitali lakini biashara ya majeneza ruksa kuuzwa karibu na hospitali

    Waziri wa Afya leo ametoa msisitizo kuwa ni marufuku maduka binafsi ya dawa kuwa karibu na viunga vya hospitali za umma hivyo yanapaswa kuwa umbali usiopungua mita 500 kutoka hospitali ilipo. Sababu kuu ni kuwa, huenda maduka hayo ya dawa yanahusika katika kuchochea upungufu wa dawa na vifaa...
  12. Mwenye uzoefu na biashara ya majeneza

    Habarini wakuu, huu uzi kuna member anaitwa Mbwa dume nilimuandikia kama PM ila naona bado sijampata maana alikujaga na uzi wake wa kutangaza majeneza kipindi cha nyuma. Kwa sababu bado sijampata na mimi nna shida .. ningeomba kusaidiwa baadhi ya taarifa kama ifuatavo kwa yoyote mwenye kujua...
  13. Moshi: Majeneza yaadimika

    Na Mary Mosha, MOSHI HUDUMA za mazishi na uuzaji wa majeneza kwenye Mji wa Moshi zimetajwa kuongezeka katika siku za karibuni. Kutokana na ongezeko hilo, baadhi ya watoa huduma wameiomba serikali kuona namna ya kuwasaidia wasilipe kodi na tozo mbalimbali kwa kuzingatia wanatoa huduma na sio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…