Mbunge wa viti maalumu Mhe. Hawa Mwaifunga ameziomba halmashauri kuangalia njia bora za kufanya marekebisho katika baadhi ya shule ili zirudi katika ubora wake ili kuepusha maafa kujitokeza.
Soma Pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea...