Watu 15 akiwemo Mtoto, wamejeruhiwa huku baadhi yao wakiwaishwa Hospitali kutokana na majeraha waliyoyapata baada ya Ndege ya Delta ya Nchini Marekani kupata ajali leo kwa kubinuka juu chini kwenye njia ya kurukia Ndege baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Toronto Nchini Canada...