Straika Rasmus Hojlund na beki aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni 52, Leny Yoro wamepata majeraha wakati Timu yao ya Manchester United ikipoteza mchezo wa kirafiki dhidi ya Arsenal kwa magoli 2-1, Los Angeles.
Licha ya kuwa haijajulikana ukubwa wa majeraha lakini hiyo ni tahadhari kwa Kocha wa...
Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag amesema wanatarajia kufanya uchunguzi wa ndani kubaini sababu za wachezaji wake kuumia mara kwa mara ikiwa ni siku chache baada ya Lisandro Martinez na Victor Lindelof kupata majeraha.
Walinzi hao wanatarajiwa kuwa nje kwa mwezi mmoja, Martinez akipata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.