Kikosi cha Manchester United kimepata pigo baada ya beki mpya wa kati kwenye timu hiyo aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni 59, Leny Yoro kupata majeraha yatakayomuweka nje kwa miezi mitatu, pia straika Rasmus Hojlund naye atakuwa nje kwa wiki sita.
Wote waliumia katika mchezo wa kirafiki dhidi ya...
Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag amesema wanatarajia kufanya uchunguzi wa ndani kubaini sababu za wachezaji wake kuumia mara kwa mara ikiwa ni siku chache baada ya Lisandro Martinez na Victor Lindelof kupata majeraha.
Walinzi hao wanatarajiwa kuwa nje kwa mwezi mmoja, Martinez akipata...